Bunge Zimbabwe lamuita Mugabe Mei 23 | Matukio ya Afrika ...
Bunge Zimbabwe lamuita Mugabe Mei 23. Kamati ya bunge la zimbabwe umemuita rais wa zamani Robert Mugabe kutoa ushidi kuhusu rushwa ya almasi inayodaiwa kugharimu mamilioni wakati wa utawala wake ...